Sababu tatu za kutokwa na damu kwenye kinyesi

Inaweza kuonekana kuwa jambo dogo, lakini tunapoliona, linaweza kusababisha wasiwasi mkubwa.

Watu wengi hufadhaika wanapoona damu kwenye kinyesi chao, wakidhani ni tatizo kubwa, kama saratani ya tumbo.

Hata hivyo, kuna sababu kadhaa zinazoweza kusababisha kutokwa na damu kwenye mfumo wa usagaji chakula, baadhi zikiwa mbaya zaidi kuliko nyingine.

Savvy Media

Fermín Mearín, mkurugenzi wa kituo kinachobobea katika magonjwa ya usagaji chakula nchini Hispania, aliieleza BBC sababu za kawaida zaidi za damu katika kinyesi.

Hii kawaida husababisha damu kuonekana, baada ya kutoa haja ndogo au kutoa kinyesi.

“Hii inaonesha kuwa damu inatoka sehemu ya ndani ya mwili na kwamba chanzo chake kiko kwenye njia ya haja kubwa,” anasema Dk. Mearin.

Tatizo la aina hii mara nyingi halitambuliwi hadi uchunguzi ufanyike.

kupasuka kunaweza kubainika kupitia uchunguzi makini. Ni nyufa ndogo katika njia ya haja kubwa inayotokea kwa watu wenye matatizo ya kupata haja kubwa au wenye kinyesi kigumu, na ni hali ya maumivu sana.

Post navigation

Leave a Comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Ikiwa unapenda chapisho hili unaweza kupenda haya

error: Content is protected !!